Martin Auer: The Strange War, Stories for Peace Education

   
 

MTU DHIDI YA MTU

Please share if you want to help to promote peace!

Translated by MOSES LUSAMBA

This translation has not yet been reviewed

MTU DHIDI YA MTU
Download (All stories in one printer friendly file)
Guestbook
About the translator
About the Author
Mail for Martin Auer
Licence
Creative Commons licence agreement
Siku moja Bwana Balaban alipokuwa mwanafunzi wa  sajenti wa mazoezi alitangaza kuwa "leo tutafanya mapambano  ya mtu dhidi ya mtu.Ni muhimu  kwenu sana  wakati puto ikienda angani.!"
Ah Bwana Balaban alijibu"kama ni kweli pambano la  mtu dhidi ya mtu wakati puto ikienda juu-je waweza nionesha mwenzangu wa kupambana naye?Labda mwenzangu au mimi  ninaweza kuipeleka juu zaidi
   
 

This site has content self published by registered users. If you notice anything that looks like spam or abuse, please contact the author.